top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Pulmonary tuberculosis

Pulmonary tuberculosis

Pulmonary tuberculosis ni nini kwa ksiwahili?

Pure Agraphia ni nini?

Pure Agraphia

Agrafia safi ni aina ya agrafia inayojitokeza pale ambapo mtu hupoteza au kuharibikiwa uwezo wa kuandika pekee, huku uwezo mwingine wa lugha kama kuzungumza, kusoma, na kuelewa lugha ukiwa bado uko kawaida. Hali hii hutokea kutokana na uharibifu wa eneo maalum la ubongo linalohusika na kuhifadhi na kutekeleza ujuzi wa kuandika, bila kuathiri mfumo mpana wa lugha.

QID kirefu chake ni nini?

QID kitiba ni kifupi cha neno la Kilatini "quater in die" lenye maana ya 'mara nne kwa siku'. Hutumika kwenye cheti cha dawa kumaanisha 'dawa itumike mara nne kwa siku' (ndani ya masaa 24) yaani dawa itumike kila baada ya masaa 6.

Reiter's syndrome

Reiter's syndrome ni nini?

Rhinovirus

Rhinovirus

Rhinovirus ni nini kwa kiswahilii?

bottom of page