top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Rx kirefu chake ni nini?

Rx katika tiba ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘recipe’ lenye maana ‘Chukua’ au ‘pokea’

Kwenye cheti cha dawa neno Rx huandikwa kabla ya orodha ya dawa chini yake na humaanisha uchukue au utumie dawa zilizoorodheshwa na mtaalamu wa afya

Sainas

Sainas

Ni njia inayoanzia kwenye uso na kuishia ndani tishu, njia hii sikuzote huwa imefunikwa na tishu za granyulesheni.

Saitoplazim

Saitoplazim

Ni uji mzito unaopatikana ndani ya kuta za seli.

Saturated fate

Saturated fate ni nini?

Sayanosisi ni nini?

Sayanosisi

Ni hali ambapo ngozi, midomo au kucha hubadilika na kuwa na rangi ya bluu, zambarau au kijivu kutokana na kiwango kidogo cha oksijeni kwenye damu au mabadiliko ya mtiririko wa damu. Hali hii ni ishara ya tatizo fulani la mwili na si ugonjwa unaojitegemea.

bottom of page