Uboreshaji wa ujuzi- Tabibu
Nyumbani
Mgonjwa
Daktari
Elimu Afya
Pata tiba
Ujauzito
Mlo Afya
Mafunzo
Dawa A-Z
Blogi
Dalili & Viashiria A-Z
Magonjwa A-Z
Virutubisho A-Z
Mengineyo
Second line drug ni nini?
Seizure ni nini kwa kiswahili?
Ni chembe ndogo yenye uhai, isiyoonekana kwa macho ya nyama ambayo ndo msingi wa maisha ya kila kiumbe hai.
Sepsisi ni hali hatari inayotokea pale mwitikio wa mwili dhidi ya maambukizi unapoharibu viungo muhimu na kuhatarisha maisha. Hutokea kutokana na maambukizi mbalimbali na huhitaji utambuzi na matibabu ya haraka ili kuzuia madhara makubwa au kifo.
Sheehan’s syndrome ni nini kwa ksiwahili?