top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Hormone

Hormone ni nini?

Hypoglycemia

Hypoglycemia ni nini?

Ujauzito wa zabibu

Ujauzitozabibu

Ni uviumbe usio saratani, hutokea endapo wakati wa uumbaji uengenezaji wa seti za jeni za baba kwenye yai lililochavushwa zimekuwa nyingi kuliko kawaida, matokeo yake ni kutengeneza vijifuko vya mviringo vyenye mwonekano wa zabibu.

Uchungu halisi

Uchungu halisi

Uchungu halisi hufahamika pia kama leba halisi, hutokana na kujongea kwa misuli ya tumbokunapopelekea mtoto kushuka kwenye nyonga mpaka pale anapotoka nje ya uzazi.

Uchungu bandia

Uchungu bandia

Ni uchungu usio wa kweli na hufahamika pia kama leba bandia, hutokea wiki 1 hadi 2 kabla ya leba halisi.

bottom of page