top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Ulevi wa dawa

Ulevi wa dawa

Ni hali ya kupata dalili kali za kisaikolojia na kifiziolojia baada ya kuacha kutumia dawa aina fulani.

Umbilical cord

Umbilical cord ni nini?

Umri wa mimba

Umri wa mimba

Umri wa mimba ni kipimo kinachokadiria muda utakaochukuliwa na ujauzito kuanzia siku ya kwanza ya kuona hedhi ya mwisho hadi siku ya kujifungua.

Unsaturated fat

Unsaturated fat ni nini?

Uono wa shimoni

Uono wa shimoni

Uono wa shimoni ni upotevu wa uwezo wa macho kuona vitu vya pembeni na kusalia na uwezo wa kuona vitu vya kati tu.

bottom of page