top of page

Kuanza programu za kupunguza uzito kulingana na afya na mahitaji  yako

Karibu katikaprogramu ya chakula na mazoezi kupunguza uzito/ kufikia malengo ya kiafya

Imeandikwa na madaktari wa uly clinic

Anza mazoezi, kufuata mlo au vyote viwili sasa kulingana na Mahitaji yako, kama unataka kupunguza uzito, kuondoa tumbo na kuimarisha mwili unaweza chagua aina moja ya programuitakayokuwa rahisi kwako.Sehemu hii utapata maelekezo ya kitaalamu kusuhu Chakula na Mazoezi ya kulegeza viungo vilivyokaza, kuongeza nguvu za kufanya tendo la ndoa mda mrefu. Madaktari wetu watakuwa nawe hatua kwa hatua kukupa maelekezo mpaka ufikie malengo yako.

Unachotakiwa kufanya ni  kuwasiliana na namba za huduma kwa mteja baada ya kuchagua huduma yako hapa chini kisha utapewa akaunti katika "application ya ulyclinic"ili uanze masomo

Matibabu ya uzito kupita kiasi na kitumbo kwa kutumia chakula tu

  • Tutakupa ushauri kuhusu chakula gani ule na namna gani upike kulingana na mahitaji yako na muda unaotaka upungue uzito

  • Tutakupangia ratiba ya chakula kulingana na chakula kinachopatikana kwenye maeneo yako

  • Tutakupa maelekezo kwa njia ya muito wa simu/meseji/kukupa video maalumu kulingana na mahitaji yako.

  • Tunakupima/kukushauri vipimo vya kufanya ili kujua afya yako kabla ya kuanza programu hii ili ufikie malengo yako kwa muda muafaka bila kupata madhara

  • Tutakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu namna ya kupungua kwa muda muafaka unaotaka kupungua

  • Tutakupa majibu ya maswali mbalimbali utakayokuwa nayo unapokuwa unaendelea na tiba

Gharama za tiba hii ni sh 30,000/= kwa wiki 4 tu

Matibabu ya uzito kupita kiasi kwa mazoezi tu

  • Tutakupa ushauri kuhusu mazoezi gani ufanye na namna gani uanze kufanya kulingana na mahitaji yako na muda unaotaka upungue

  • Tutakushauri mazoezi ya kufanya kulingana na mazingira uliyopo na kazi unayofanya bila kuingiliana na shughuli zako

  • Tutakupa maelekezo kwa njia ya muito wa simu/meseji/kukupa video maalumu kulingana na mahitaji yako.

  • Tunakupima/kukushauri vipimo vya kufanya ili kujua afya yako kabla ya kuanza programu hii ili ufikie malengo yako kwa muda muafaka bila kupata madhara

  • Tutakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu namna kufanya ili  kupungua uzito kwa muda muafaka unaotaka kupungua na kulingana na afya yako

  • Tutakupa majibu ya kitaalamu  ya maswali mbalimbali utakayokuwa nayo unapokuwa unaendelea na tiba

Gharama ya huduma hii ni elf 30,000/= kwa wiki 4tu.

Mazoezi maalumu kwa mgonjwa wa kisukari/Kiharusi(stroke), Shinikizo la damu la juu/Presha na Seli mundi(sickle cell)

  • Tutakupa maelekezo ya hatua kwa hatua kwa sms, video na kupigiwa simu wa namna ya kufanya ili kuepuka maumivu, kupunguza shinikizo la damu na kudhibiti sukari kwa njia ya mazoezi na chakula

  • Tutakupima vipimo/Kukushauri vipimo vya kufanyakabla ya kuanza mazoezi ili ufikie malengo kwa muda bila kupata madhara

  • Tutakupa elimu na ushauri wa kitaalamu kuhusu maswali mbalimbali uliyonayo

  • Tutakupatia kitabu cha kukupa ushauri wa kitaalamu khusu kisukari na mazoezi

 

Gharama zatiba hii ni 50,000/= kwa wiki 8 tu

Endapo upo Arusha na utahitaji kuungana nasi kwenye programu basi unaweza wasiliana nasi kwenye namba za huduma kwa mteja

Kupata maelekezo zaidi tutafute kwenye mawasiliano yetu

Kumbuka huduma zetu unaweza kuzipata popote pale ulipo

bottom of page