Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali
Kuvunjika fupakola
Kuvunjika kwa fupakola ni aina ya jeraha linalotokea sana kwa watoto na vijana wadogo. Fupakola ni mfupa unaounga mkono kwenye sehemu ya juu ya fupatiti.
Kuwa na damu nyingi hufahamika kwa jina jingine la polisaithimia (polycythemia) ni tatizo linalotokea endapo kiwango cha himoglobin ni kingi kuliko kawaida ya umri au jinsia ya mtu.
Ugonjwa wa zinaa au magonjwa ya zinaa ni magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiana, inaweza kuhusisha kujamiana kwa kuingiza uume au uke mdomoni, ukeni na uume kwenye tundu la haja kubwa.