Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali
Saratani
Kufahamu saratani ni nini ni vema kwanza kufahamu kuwa mwili wa binadamu umetengenezwa kwa chembe hai zenye uwezo wa kuzaliana, kukua na kufa mara zinapozeeka au zinapopoteza uwezo wake wa kufanya kazi.
Maambukizi ya fangasi kwenye kinena hufahamika kwa jina jingine la tinea kruriz ni ugonjwa unaosababishwa na kuzaliana kupita kiasi kwa fangsi waishio kwenye ngozi wenye jina Trichophyton rubrum, Epidermophyton floccosum na T. mentagrophytes.