top of page

Magonjwa na saratani mbalimbali

Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali

Mafua ya aleji

Mafua ya aleji

Mafua ya aleji kwa jina jingine homa ya hay au rhinaitizi ni ugonjwa unaotokea sana kwa binadamu.

Kutoumbwa kwa UKE

Kutoumbwa kwa UKE

Kuzaliwa bila uke huathiri mwanamke 1 kati ya 5,000–7,000 wanaozaliwa na huweza kuambatana na matatizo ya mfuko wa uzazi, figo, moyo, na mifupa.

Saratani ya damu (leukemia)

Saratani ya damu (leukemia)

Leukemia ni saratani ya damu inayoshambulia tishu zinazohusika kutengeneza damu ikiwa pamoja na urojo wa mifupa na mfumo wa limfatiki.

Gauti

Gauti

Gauti ni la Kiswahili linalotokana na neno tiba, ni mojawapo ya magonjwa ya maungio ya mwili yanayosababishwa kwa kupanda kwa kiwango cha uric acid kwenye damu ikifahamika kwa jina jingine la hyperuricemia.

bottom of page