Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali
Ugonjwa wa PID
Hutokea sana kwa wanawake waliowahi kuathiriwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gono na pangusa, usipotibiwa kwa wakati husababisha ugumba kwa mwanamke 1 kati ya wanawake 8.
Ni mchakato asili unaohusisha umeng’enyaji wa kichanga aliyekufa na ufyonzwaji wake kwenye mwili wa mama katika hatua yoyote ya ujauzito baada ya uumbaji wa ogani za mtoto kukamilika.
Woga usio kawaida au kuepuka jambo na wasiwasi wa jumla ni dalili inayotokea sana kwa waathirika wa kiharusi cha mpito. Tiba ya akili, tabia na dawa huwa thabiti dhidi ya dalili hii.