top of page
Magonjwa na saratani mbalimbali
Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali

Ugonjwa wa Rubella kwa Watoto: Dalili, Vipimo na Matibabu
Rubella ni maambukizi ya kirusi yanayoonekana kuwa na dalili nyepesi kwa watoto waliozaliwa, lakini huwa na hatari kubwa sana kwa mtoto aliye tumboni endapo mama ataambukizwa wakati wa ujauzito. Chanjo na uchunguzi wa mapema ndiyo njia bora zaidi ya kuzuia madhara makubwa na kulinda afya ya mtoto na jamii kwa ujumla.
bottom of page



