Gono ni moja ya ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria Neisseria gonorrhoeae. Ugonjwa huu usipotibiwa kwa wakati huweza kusababisha utasa kwa wanaume na wanawake.
Gonorea ni moja ya ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria anayeitwa Neisseria gonorrhoeae. Kimelea huyu mara nyingi huathiri mrija wa mkojo wenye jina la urethra pamoja na shingo ya kizazi kwa wanawake.
Ni moja ya ugonjwa wa zinaa unaotokea sana na husababishwa na maambukizi ya kirusi Herpes aina ya pili (HSV2). Kuna dawa za kutuliza dalili na ukali wa ugonjwa na mpaka sasa hakuna tiba ya kutokomeza ugonjwa.