Kungu
- Dr.Sospeter Mangwella, MD
- Nov 4, 2018
- 1 min read
Kungu ni tunda linalopatikana sana barani afrika,kuna aina tofauti za kungu, aina hizi hutokana na asili ya mmea unaotoa tunda hilo na sehemu mmea huo ulipo. Karanga ya tunda la Kungu imekuwa ikifanyiwa tafiti nyingi sana na hii ni kutokana na faida zake nyingi katika mwili wa binadamu. Tunda hili kwa kuwa lina vitamin na virutubisho vyenye mchango mkubwa ndani ya mwili wa binadamu limekuwa likitumika kama dawa kwa ajili ya hali na magonjwa mbalimbali
Karanga ya Kungu huwa na virutubisho vifuatavyo ndani yake
protini
vitamin E
nyuzinyuzi
mafuta mazuri
madini kalisi
madini ya magnesium
Baadhi ya faida za karanga hii ni kama
Kupambana na maradhi ya kisukari
Kupunguza lehemu mbaya mwilini
Kuongeza utumiaji wa sukari mwilini
Kukinga na kutibu magonjwa ya mishipa ya damu na moyo
Kupunguza uzito uliopita kiasi Kuendelea kusoma zaidi kuhusu makala hii ingia katika kurasa zetu za ndani kwakubonyeza hapa
Comments