top of page

Kutibu maumivu ya jino | ULY CLINIC

Updated: Jun 29, 2020


Maumivu ya jino au michomo kutokana na shambulio la kinga za mwili husababishwa mara nyingi na maambukizi kinywani. Hata hivyo maumivu ya jino yanaweza kusababishwa na tatizo lisilo la moja Kwa moja kutoka kwenye jino bali ikawa ishara ya kwamba sehemu nyingine ya mwili haipo Sawa. Soma Zaidi mada hii kwa kubonyeza hapa


Matibabu ya nyumbani yanaweza kuwa pamoja na


​Kumbuka kuwasiliana na daktari wako kwa ajili ya tiba zaidi endapo maumivu ya meno yapo zaidi ya siku tatu.

27 views1 comment

Recent Posts

See All

1 Comment


jjmsaki
jjmsaki
Feb 11, 2020

🙏

Like
bottom of page