Fahamu dalili zifuatazo kisha chukua hatua ya kuonana na daktari maramoja
Mabadiliko kwenye titi kama vile kuongezeka ukubwa pasipo kawaida yake
Ngozi ya titi kupata vishimo (dimples) au ziwa kuwa na vidoti kama vidoti vya chungwa
Vidonda/kidonda kwenye kilembwa cha titi
Kutokwa na uchafu au damu kwenye kilembwa cha ziwa
Kuvimba mitoki kwenye kwapa
Uvimbe mpya ndani ya titi unakua mgumu ukishika na usio na umbo la kawaida, viuvimbe vingi na pia hutofautiana na la pili
Titi kujishikiza kwenye kuta za kifua ( bonyeza hapa kuandgalia jinsi ya kijipima ziwa lako
Huweza kumaanisha kunatatizo kubwa katika titi lako; chukua tahadhari kujirithisha kwamba hamna saratani kwa kwenda kupima hospitari au kuonana na dakitari
Kwa mawasiliano na ushauri wasiliana na namba zilizo chini ya tovuti hii kuongea na daktari
コメント