top of page

Tatizo la bawasili


Bawasiri kwa jina jingine kitaalamu yani pile ni vimbe kwenye mishipa ya damu iitwayo vein iliyopo ndani ya tundu la haja kubwa au chini ya ngozi inayotengeneza mlango wa kutolea kinyesi. Vimbe za mishipa hii inaweza kutokana na

  • Kukenya(kutumia nguvu nyingi/kubwa kusukuma kinyesi) wakati wa kujisaidia haja kubwa au

  • Ongezeko la shinikizo la ndani ya mishipa hii wakati wa ujauzito kama mojawapo ya kisababishi.

Bawasiri huweza kuwa sehemu ya ndani kasisa ya njia ya haja kubwa ambapo huitwa bawasiri la ndani au nje ya njia ya haja kubwa na huitwa bawasili la nje Bawasili ni tatizo linalotokea kwenye umri wa miaka 50, nusu ya watu hawa huwa wanavimba au kuwa na michomo katika mishipa hii ndani au nnje ya mkundu na hutokea na dalili za kuwashwa, hali isiyo ya kawaida maeneo hayo na kutokwa damuKwa bahati nzuri matibabu ya aina nyingi ya tatizo hili yapo, wakati mwingine mtu anaweza kupata matibabu ya nyumbani yakiendana na mabadiliko ya mfumo wa maisha. Ingia linki hii kusoma zaidi

83 views0 comments

Recent Posts

See All
bottom of page