Shirika la Afya Ulimwenguni linapendekeza kutumika kwa mjamzito kuzuia magonjwa yanayohusiana na shinikizo la juu a damu na kifafa cha mimba. Taarifa za kutosha za tafiti kuthibitisha usalama wake wa wazaliwa hazipo.
Kula mlo wa kiafya, kufanya mazoezi yenye mpangilio, kuacha kuvuta sigara na matumizi ya pombe kupita kiasi ni njia nzuri na za pekee zinazopendekezwa na wataalamu wa Afya kuzuia kiharusi cha mpito.
Kipindi cha kunyonyesha, mwanamke huwa na uke mkavu
Mwanamke anayenyonyesha huzalisha kwa kiasi kidogo sana au kutozalisha kabisa ute ute ukeni licha ya kuandaliwa vya kutosha kabla ya kujamiana. Wakati wa kunyonesha inashauriwa kutumia vilainisha uke ili kuepuka maumivu.
Huanza baada ya utungisho wa yai ndani ya mirija ya uzazi na kuisha baada ya ujauzito kumaliza wiki 12. Kwa kuwa uumbaji wa kichanga na ogani zake hufanyika wakati huu, chakula ama dawa unazotumia zinaweza kuathiri sana uumbaji.
Huanzia wiki ya 13 na kuisha wiki ya 27 ya ujauzito. Kipindi ni katikati ya safari ya ujauzito, kijusi hukua kutoka urefu wa sentimita 7.5 hadi 23 na kuongezeka uzito kutoka gramu 30 hadi 820. Kichefuchefu