top of page
Vidokezo vya Afya

Uzito wa mtoto katika umri wa miaka miwili ya kwanza
Uzito wa mtoto huongezeka mara mbili ya uzito aliozaliwa nao anapofikisha miezi sita, mara tatu anapofikisha mwaka mmoja na mara nne anapofikisha miaka miwili. Ongezeko hili ni makadilio ya ongezeko la uzito wa kawaida kwa tafiti nyingi zilizofanyika. Zingatia ushauri wa kiafya ili mwanao aongezeke uzito kama inavyotakiwa.
bottom of page




