top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Sospeter B, MD

Dkt. Salome A, MD

31 Oktoba 2026, 15:23:43

Chakula cha mgonjwa wa seli mundu

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Maji mengi, folic acid kila siku, mlo kamili wenye protini, mboga na matunda, milo midogo mara nyingi. Chuma cha vidonge – tu kama kipimo kimeonyesha upungufu. Soma Selimundu.


Maelezo


Kila siku


  • Maji mengi.

  • Folic acid.

  • Wanga, protini, mboga, matunda.

  • Milo midogo mara nyingi akiugua.


Tahadhari


  • Chuma cha vidonge – baada ya kipimo tu.

  • Pombe, sigara – hapana.

  • Kukosa maji, joto/baridi kali.


Virutubisho vyenye tafiti ndogo


  • Zinki.

  • Vitamini D.

  • Omega-3 (samaki).

  • Selenium.


Nini cha kufanya



Dalili za hatari


Hospitali mara moja ukiwa na:


  • Homa 38°C+.

  • Maumivu makali yasiyopungua.

  • Kupumua kwa shida, kifua kuuma.

  • Tumbo kuvimba ghafla, weupe mkubwa.

  • Udhaifu wa upande mmoja, kushindwa kuongea.


Lini umwone daktari


  • Kupungua uzito au kukua polepole.

  • Kukosa hamu ya kula muda mrefu.

  • Unafikiria virutubisho – uliza kliniki.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Mgonjwa wa selimundu ale nini?

Mlo kamili, maji mengi.

2. Apewe vidonge vya chuma?

Tu kama kipimo kimeonyesha upungufu.

3. Folic acid maisha yote?

Ndiyo, kwa mwongozo.

4. Maji kiasi gani?

Mengi – mkojo uwe mweupe/njano hafifu.

5. Kuna chakula kinachotibu?

Hapana; lishe husaidia afya.

6. Virutubisho vya dukani?

Kwa ushauri wa kliniki.

Imeandikwa:

24 Agosti 2026, 03:56:16

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Ministry of Health Tanzania. National guidelines for the management of sickle cell disease. Dodoma: MoH.

  2. Hyacinth HI, Gee BE, Hibbert JM. The role of nutrition in sickle cell disease. Nutr Metab Insights. 2010;3:57–67.

  3. National Heart, Lung, and Blood Institute. Evidence-based management of sickle cell disease: expert panel report. Bethesda (MD): NHLBI; 2014.

  4. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

bottom of page