top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Glory, MD

ULY CLINIC

31 Oktoba 2026, 15:23:37

Dawa za PEP zinafanyaje kazi kuzuia UKIMWI?

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: PEP huzuia virusi kujiimarisha – ianzwe ndani ya saa 72 na kumalizwa siku 28. Pima mwanzo, wiki 6 na 12. Soma Mambo ya kuzingatia ukiwa kwenye PEP.



Maelezo


Jinsi inavyofanya kazi


  • TDF + 3TC/FTC – huzuia reverse transcriptase.

  • DTG – huzuia integrase (DNA ya virusi kuingia kwenye DNA ya seli).

  • Virusi havizaliani; kinga huondoa seli chache zilizoambukizwa.


Muda ni muhimu


  • Mapema zaidi ni bora – saa 2–24.

  • Hadi saa 72 – baada ya hapo haipendekezwi; soma Muda wa PEP ukipita.

  • Siku 28 bila kuruka.


Maudhi


  • Kichefuchefu, uchovu, kichwa – kwa kawaida hupungua.

  • Usiache – ongea na kliniki.


Nini cha kufanya



Dalili za hatari


  • Vipele vikubwa, macho ya njano, maumivu makali ya tumbo – kliniki haraka.


Lini umwone daktari


  • Tukio jipya la hatari.

  • Umesahau dozi nyingi.

  • Homa, vipele wiki 2–4 – kipimo.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. PEP inafanyaje kazi?

Huzuia virusi kuzaliana kabla ya kujiimarisha.

2. Ianzwe lini?

Ndani ya saa 72, mapema zaidi.

3. Siku ngapi?

28.

4. Inafanya kazi 100%?

Hapana, lakini hupunguza hatari sana.

5. Dawa zipi?

TDF + 3TC/FTC + DTG.

6. Nikiacha mapema?

Kinga hupungua; maliza siku 28.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 17:08:31

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. World Health Organization. Guidelines for HIV post-exposure prophylaxis. Geneva: WHO; 2024.

  2. Cardo DM, et al. A case–control study of HIV seroconversion in health care workers after percutaneous exposure. N Engl J Med. 1997;337(21):1485–90.

  3. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

bottom of page