top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

ULY CLINIC

31 Oktoba 2026, 15:23:43

Je, kufanya mapenzi katika wiki ya 33 ya ujauzito kuna madhara?

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Ni salama kwa mimba isiyo na matatizo. Epukeni ukiwa na previa, damu, maji kuvuja au uchungu wa mapema. Mikao ya ubavu; kondomu kama kuna hatari ya zinaa. Soma Kipindi cha tatu.


Maelezo


Kwa nini ni salama


  • Maji ya chupa.

  • Misuli ya kizazi.

  • Kizibo cha ute.


Epukeni ukiwa na


  • Placenta previa.

  • Damu ukeni.

  • Maji kuvuja – soma Chupa kupasuka.

  • Uchungu wa mapema.

  • Shingo ya kizazi fupi/mshono.


Mikao


  • Ubavu.

  • Mwanamke juu.

  • Kwa nyuma.

  • Si chali muda mrefu.


Nini cha kufanya


  • Ongeeni kuhusu raha na maumivu.

  • Kondomu kwa zinaa.

  • Kojoa baada ya ngono.

  • Usipulizie hewa ukeni.


Dalili za hatari


Hospitali haraka ukiwa na:



Lini umwone daktari


  • Maumivu kila mnapofanya ngono.

  • Uchafu wenye harufu.

  • Mmeambiwa una previa au shingo fupi.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Ngono wiki 33 inaleta uchungu?

Kwa mimba ya kawaida hapana.

2. Mtoto anaumia?

Hapana.

3. Mikazo baada ya ngono?

Kawaida, hupoa.

4. Damu kidogo baada ya ngono?

Pima kliniki.

5. Mikao gani?

Ubavu, mwanamke juu.

6. Ngono ya mdomo?

Salama; usipulizie hewa.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:07:23

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Jones C, Chan C, Farine D. Sex in pregnancy. CMAJ. 2011;183(7):815–8.

  2. Kontoyannis M, et al. Sexual function and sexual health in pregnancy. Arch Gynecol Obstet. 2012;285(4):1037–43.

  3. Cunningham FG, et al. Williams Obstetrics. 26th ed. New York: McGraw-Hill; 2022.

  4. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

bottom of page