top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Mangwella S, MD

Dkt. Peter A, MD

31 Oktoba 2026, 15:23:37

Je, ngozi kuwasha ni dalili ya VVU?

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Muwasho peke yake hauthibitishi VVU – pima. Soma Je mwili kuwashwa ni dalili ya UKIMWI?.


Maelezo


Kwa mwenye VVU, muwasho hutokana na


  • Vipele vya muwasho vya VVU (PPE) – soma Vipele mlipuko vinavyowasha sana.

  • Fangasi, upele (scabies), bakteria.

  • Ngozi kavu, seborrhoeic dermatitis.

  • Mzio wa dawa – hasa siku za mwanzo za dawa mpya.


Kwa asiye na VVU


  • Mzio, ukurutu, upele, fangasi, wadudu, ngozi kavu.

  • Magonjwa ya ini, figo, tezi, kisukari, upungufu wa damu.


Nini cha kufanya



Dalili za hatari


  • Vipele vyenye malengelenge, vidonda mdomoni au machoni baada ya dawa mpya – kituo cha afya mara moja.


Lini umwone daktari


  • Muwasho zaidi ya wiki 2.

  • Muwasho pamoja na homa, kupungua uzito au jasho usiku.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Ngozi kuwasha ni dalili ya VVU?

Si dalili maalumu; pima ili kujua.

2. Mwenye VVU huwashwa kwa sababu gani?

PPE, fangasi, upele, ngozi kavu au mzio wa dawa.

3. Muwasho wa VVU unatibika?

Mara nyingi hupungua kwa ARV na matibabu ya chanzo.

4. Nipime VVU lini?

Sasa, na wiki 12 baada ya hatari.

5. Vipele baada ya ARV mpya, nifanyeje?

Nenda kliniki mara moja.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:07:13

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

  2. World Health Organization. Guidelines on the treatment of skin and oral HIV-associated conditions in children and adults. Geneva: WHO; 2014.

bottom of page