top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Benjamin M, MD

Dkt. Adolf S, MD

31 Oktoba 2026, 15:23:43

Kutunza kidonda cha upasuaji nyumbani

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Safi, kavu, mikono safi; oga baada ya saa 24–48; hakuna dawa za kienyeji. Usaha, wekundu unaoenea, homa au kufunguka – rudi hospitali. Soma Kidonda kutoa usaha.


Maelezo


Kila siku


  • Osha mikono.

  • Maji safi/chumvi.

  • Kausha taratibu.

  • Bendeji safi ikiwa inahitajika.


Kuoga



Nyuzi



Nini cha kufanya


  • Tembea mapema.

  • Mto kushikilia tumbo ukikohoa.

  • Protini, matunda, maji.

  • Acha sigara, dhibiti sukari.

  • Usibebe mizigo mizito wiki 6 (upasuaji wa tumbo).


Dalili za hatari


Hospitali haraka ukiwa na:


  • Homa, kutetemeka.

  • Usaha au harufu mbaya.

  • Wekundu unaoenea, uvimbe, joto.

  • Kidonda kufunguka.

  • Damu nyingi.

  • Mguu kuvimba na kuuma, kupumua kwa shida.


Lini umwone daktari


  • Maumivu yanaongezeka badala ya kupungua.

  • Majimaji yanaendelea kutoka.

  • Kovu kuwa kubwa na kuwasha (keloid).


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Naweza kuoga lini?

Kwa kawaida baada ya saa 24–48.

2. Nipake spiriti?

Hapana.

3. Kidonda kuwasha ni kawaida?

Kidogo wakati wa kupona ndiyo.

4. Nyuzi zitatolewa lini?

Siku 5–14.

5. Vyakula vya kusaidia?

Protini – mayai, samaki, maharage.

6. Kutembea kunafaa?

Ndiyo, mapema.

Imeandikwa:

24 Agosti 2026, 03:57:13

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. World Health Organization. Global guidelines for the prevention of surgical site infection. 2nd ed. Geneva: WHO; 2018.

  2. National Institute for Health and Care Excellence. Surgical site infections: prevention and treatment (NG125). London: NICE; 2019 (updated 2020).

  3. Dumville JC, et al. Early versus delayed post-operative bathing or showering to prevent wound complications. Cochrane Database Syst Rev. 2015;(7):CD010075.

  4. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

bottom of page