top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

Dkt. Benjamin L, MD

31 Oktoba 2026, 15:23:43

Madhara ya Mjamzito kulalia tumbo

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Mwanzoni kulalia tumbo ni salama. Baada ya wiki 28 lala ubavu (kushoto au kulia), usilale chali; mito husaidia. Mtoto kucheza kidogo – hospitali. Soma Hisia za mtoto kucheza.


Maelezo


Kwa kipindi


  • Kabla ya wiki 16–20 – mkao wowote.

  • Wiki 20–28 – ubavu ni raha zaidi.

  • Baada ya wiki 28 – ubavu, si chali.


Kwa nini si chali


  • Mshipa mkuu kubanwa.

  • Damu kwa mtoto hupungua.

  • Mama kizunguzungu.

  • Hatari ya mtoto kufia tumboni huongezeka.


Nini cha kufanya


  • Mto kati ya magoti.

  • Mto chini ya tumbo na mgongoni.

  • Kichwa juu kidogo kwa kiungulia.

  • Ukiamka chali – geuka tu.

  • Soma Pozi zuri la kulala.


Dalili za hatari


Hospitali haraka ukiwa na:


  • Mtoto kucheza kidogo au kutocheza.

  • Damu ukeni.

  • Maji kutoka.

  • Kizunguzungu kikali, kuzimia.


Lini umwone daktari


  • Maumivu ya mgongo yanayozuia usingizi.

  • Kukosa usingizi wiki nyingi.

  • Wiki 28+ – soma Kipindi cha tatu.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Kulalia tumbo kunamuumiza mtoto?

Mwanzoni hapana; baadaye hutaweza kwa raha.

2. Upande gani ni bora?

Kushoto au kulia – vyote salama.

3. Nimeamka nikiwa chali?

Usiogope; geuka ubavu.

4. Lini niache kulala chali?

Baada ya wiki 28.

5. Mito husaidia?

Ndiyo.

6. Kukaa kwa kuegemea?

Ni salama.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:07:23

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Cronin RS, et al. An individual participant data meta-analysis of maternal going-to-sleep position, interactions with fetal vulnerability, and the risk of late stillbirth. EClinicalMedicine. 2019;10:49–57.

  2. Royal College of Obstetricians and Gynaecologists. Reducing the risk of stillbirth: sleep position. London: RCOG; 2019.

  3. Silver RM, et al. Prospective evaluation of maternal sleep position through 30 weeks of gestation and adverse pregnancy outcomes. Obstet Gynecol. 2019;134(4):667–76.

  4. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

bottom of page