top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Lugonda B, M.D

Dkt. Adolf S, M.D

31 Oktoba 2026, 15:23:37

Muda wa kusubiri ngono(kujamiaana) baada ya kutoa mimba

Jibu kwa ufupi


Jibu kwa ufupi: Hakuna siku maalumu – ukiwa tayari na damu nyingi imekoma. Mimba mpya inawezekana ndani ya wiki 2, hivyo anza uzazi wa mpango sasa. Soma Uzazi wa mpango baada ya kutoa mimba.


Maelezo


Kwa dawa


  • Damu na maumivu huweza kuendelea wiki 1–2.

  • Subiri damu nyingi ikome.


Kwa upasuaji (MVA)


  • Damu kidogo siku chache.

  • Unaweza ukiwa tayari.


Mambo ya kujua



Nini cha kufanya


  • Kondomu au njia ya uzazi wa mpango.

  • Kilainishi ukiwa mkavu.

  • Simama ukihisi maumivu.

  • Ongea na mwenza.


Dalili za hatari


Kituoni haraka ukiwa na:



Lini umwone daktari


  • Maumivu kila mnapofanya ngono.

  • Hamu imepotea muda mrefu au huzuni.

  • Dalili za mimba zinaendelea.


Maswali yanayoulizwa mara kwa mara


1. Siku ngapi nisubiri?

Hakuna idadi maalumu; ukiwa tayari na damu imepungua.

2. Naweza kupata mimba kabla ya hedhi?

Ndiyo.

3. Ngono itaharibu kizazi?

Hapana kama hakuna matatizo.

4. Damu baada ya ngono?

Kidogo huweza kutokea; nyingi – kituoni.

5. Hamu imepungua?

Kawaida kwa muda.

6. Uzazi wa mpango lini?

Siku ileile.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:17:51

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. World Health Organization. Abortion care guideline. Geneva: WHO; 2022.

  2. Schreiber CA, Sober S, Ratcliffe S, Creinin MD. Ovulation resumption after medical abortion with mifepristone and misoprostol. Contraception. 2011;84(3):230–3.

  3. Morotti M, et al. Changes in sexual function after medical or surgical termination of pregnancy. J Sex Med. 2014;11(6):1495–504.

  4. Ministry of Health, United Republic of Tanzania. Standard Treatment Guidelines and National Essential Medicines List (STG/NEMLIT), 7th edition. Dodoma: Ministry of Health; 2026.

bottom of page