top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Kupoteza uwezo wa kutamka maneno

Kupoteza uwezo wa kutamka maneno

Disarthria ni hali ya kushindwa kutamka vema maneno, hali hii huambatana na kutamka maneno taratibu na kwa tabu bila mpangilio unaotakiwa.

Maumivu wakati wa hedhi (Dysmenorrhea)

Maumivu wakati wa hedhi (Dysmenorrhea)

Dismenorrhea ni maumivu ya tumbo wakati wa hedhi, huathiri zaidi ya asilimia 50 ya wanawake walio kwenye kipindi cha kuona hedhi.

Kuona madoa doa au kuona uzi

Kuona madoa doa au kuona uzi

Ni ile hali ya macho kuona madoa doa meusi au ya kijivu, kuona nyuzi ambazo ambazo hupotea ghafla mara unapoamua kuangalia ni nini unachokiona.

Msinyao wa misuri ya pembezoni

Msinyao wa misuri ya pembezoni

Ni ugonjwa wa neva unaosababisha udhaifu wa misuli, kukakamaa, na kupoteza uwezo wa kujongea. Wagonjwa hupata matatizo ya kuongea, kumeza, kupumua, huku utambuzi wao wa akili ukibaki salama.

Msongo mkali wa kupumua

Msongo mkali wa kupumua

Matumizi ya misuli ya ziada ya kupumua, na kupumua kwa kasi pamoja na dalili ni kupumua kwa shida, kutokwa jasho jingi, kikohozi chenye makohozi ya waridi hutokea kwa watu wenye tatizo hili.

bottom of page