top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Nyama puani

Nyama puani

Hufahamika pia kama nazo polipsi, ni vinyama laini, visivyo na maumivu vyenye mwonekano wa zabibu zilizoning’inia kwenye kikonyo kilichojishikiza katika kuta zinazozalisha majimaji puani.

Kukojoa mara kwa mara

Kukojoa mara kwa mara

Kukojoa mara kwa mara ni hali ya kuhisi haja ya kwenda kukojoa zaidi ya kawaida yako, unaweza kuwa unakojoa kiwango kikubwa cha mkojo kuliko kawaida ama kiasi kidogo mara nyingi.

Konstipesheni

Konstipesheni

Ni hali ya kupitisha kiasi kidogo cha kinyesi kigumu, kikavu na mara nyingi chini ya mara tatu kwa wiki.

Kubeua

Kubeua

Ni njia ya kuondoa hewa iliyozidi kwenye mfumo wa juu wa umeng’enyaji wa chakula ambayo mara nyingi humezwa wakati wa kula au kunywa kwa haraka.

Dalili za awali za uchungu

Dalili za awali za uchungu

Huanza zenyewe na kutofautia kati ya mtu mmoja na mwingine, miongoni mwake ni maumivu ya mgongo, kubana kwa misuli ya tumbo, hisia za kujisaidia na kumwagika kwa maji ukeni.

bottom of page