top of page
Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali
Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Kukojoa kitandani kwa mtu mzima
Asilimia 1 hadi 2 ya watu wazima duniani hukojoa kitandani, tatizo hii huambatana na hofu na woga wa kupata msaada. Kama utakojoa kitandani mara moja au mbili kwa mwaka ni hali ya kawaida inayoweza tokea kwa bahati mbaya. Kama tatizo ni sugu, usishindwe na hofu au aibu, zungumza na daktari upate ushauri na tiba.
bottom of page




