top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Hisia za uvimbe ndani ya koo

Hisia za uvimbe ndani ya koo

Ni hisia zinazotokea pale mtu anapohisi kuwa kuna uvimbe ndani ya koo haswa wakati anameza mate wakati kiuhalisia hakuna uvimbe wowote ule ndani ya koo.

Maumivu ya kifua yanayoanzia shingoni

Maumivu ya kifua yanayoanzia shingoni

Maumivu ya kifua yanayotokana na madhaifu ya shingo ni tatizo linalotoke na mara nyingi huchanganywa na wataalamu wa afya kuwa ni maumivu ya anjaina.

Dalili za ugonjwa wa moyo

Dalili za ugonjwa wa moyo

Magonjwa ya moyo ni moja ya magonjwa yanayoongezeka kwa kasi katika nchi zinazoendelea. Magonjwa haya yameshakuwepo kwa kipindi kirefu katika nchi zinazoendelea kutokana na mitindo ya maisha.

Dalili za kifafa

Dalili za kifafa

Kifafa huelezewa kuwa ni degedege la kujirudia rudiarudia, degedege hili husababisha mwili kojongesha misuli bila hiaria mithiri ya mtu aliye na pepo au kupigwa na shoti ya umeme.

Dalili za kiharusi

Dalili za kiharusi

Stroku hutokana na kufa kwa seli za ubongo kwa sababu ya kukosa oksijeni ya kutosha pale ambapo damu haifiki kwenye ubongo kwa sababu sababu mbalimbali. Sababu huenda ikawa ni kuziba au kupasuka kwa mishipa ya damu inayoenda kwenye ubongo.

bottom of page