top of page
Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali
Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Maumivu ya tumbo kwa mwanamke (Mitoshimaz)
Mitoshimaz ni neno tiba linalotumiwa na ULY clinic kumaanisha “mittelschmerz”. Mittelschmerz ni neno lililotokana na neno la Kijerumani linalomaanisha “maumivu ya katikati” na kitiba linatumika kumaanisha maumivu ya tumbo upande mmoja wakati wa ovulesheni- yai linalotolewa kutoka kwenye ovari.
bottom of page




