top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Maumivu ya pua

Maumivu ya pua

Maumivu ya pua huweza kutokana na sababu mbalimbali na ni rahisi kwa pua kuumia na kupata Maambukizi kutokana na kuwepo kwa matundu mawili ambayo hewa hupita hapo na bakteria

Kushuka kwa shinikizo la damu- Haipotensheni

Kushuka kwa shinikizo la damu- Haipotensheni

Shinikizo la damu la chini hutokea pale endapo shinikizo la damu lipo chini ya 120/60 mmHg au kuwa chini kutoka kiwango cha kawaida ambacho mtu alikuwa nacho

Usaha sehemu za siri

Usaha sehemu za siri

Usaha ni majimaji mazito yenye rangi ya njano au ukijani yanayotokea sehemu ambayo tishu zimeathirika na maambukizi ambayo yanaweza kuwa ya bakteria, fangasi n.k.

Saratani ya ziwa

Saratani ya ziwa

Saratani ni mkusanyiko wa magonjwa unaohusisha uzalishwaji wa seli zisizo rasmi na usiozuilika sehemu yeyote katika mwili wa binadamu.

Maumivu ya kifua, kifua kubana, kifua kuwa kizito: Visababishi na Matibabu

Maumivu ya kifua, kifua kubana, kifua kuwa kizito: Visababishi na Matibabu

Kubana kwa kifua huwa ni ishara ya hali na magonjwa mbalimbali, baadhi ya magonjwa huwa ya hatari Zaidi, mfano magonjwa ya moyo na mapafu na baadhi huwa si ya hatari Zaidi.

bottom of page