top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Leba halisi

Leba halisi

Leba ni tendo la kifiziolojia ambalo linalomtoa mtoto pamoja na kondo la nyuma kutoka kwenye mfuko wa uzazi. Leba kwa jina jingine ni uchungu wa uzazi anaopata mwanamke ili kumsaidia kutoa mtoto ndani ya kifuko cha uzazi

Kuoza meno

Kuoza meno

Ni matatizo yanayojumuisha inflamesheni za tishu zinazozunguka jino, kupoteza jino na maambukizi ya jini.
Pia ni kuharibika kwa meno kutokana na shughuli za bakteria ambao hushambulia mabaki ya sukari kwenye jino na kuzalisha asidi ambayo huharibu madini ya jino.

Dalili za Kifaduro (Patusisi)

Dalili za Kifaduro (Patusisi)

Kifaduro ikijulikana kitiba patusisi ni maambukizi katika mfumo wa juu wa hewa yanayosababishwa na bakteria anayeitwa Bordetella pertussis. Maambukizi huambatana na uvimbe ndani ya Koo,

Dalili za mtu aliyekufa

Dalili za mtu aliyekufa

Kutambua kifo kwa usahihi kunahitaji kutofautisha kifo halisi na hali nyingine za hatari zinazoweza kumfanya mtu aonekane kama amekufa, huku sababu na muda wa kifo vikihitaji tathmini ya kitaalamu. Mtu asiyeitikia au asiyeonekana kupumua kawaida anapaswa kuchukuliwa kama dharura ya kitabibu, na uthibitisho rasmi wa kifo ufanywe na mtaalamu wa afya kwa kuzingatia vigezo vinavyokubalika.

Dalili za kifo kukaribia

Dalili za kifo kukaribia

Ni vigumu wakati mwingine kutabiri kwamba mtu atakufa lini. Hata hivyo mtu anayekaribia kufa huonyesha ishara zinazoashiria mwisho wa Maisha yake unakaribia.

bottom of page