top of page

Ugonjwa na dawa

Kurasa hii utajifunza kuhusu dawa na ugonjwa unaotibiwa na dawa hiyo. Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyotee ile ili kuepuka madhara na usugu wa dawa mwilini mwako. Kumbuka siku zote kuwa dawa ni sumu kwenye mwili wako endapo haitatumika bila ushauri wa daktari

Dawa za fangasi maeneo ya siri

Dawa za fangasi maeneo ya siri

Fangasi wa maeneo ya siri ni fungasi wanaoathiri ngozi ya maeneo yanayofunikwa na chupi yaani maeneo ya juu ya mapaja, kinena, makalioni, katikati ya mapaja, viungo vya siri.

Dawa za fangasi wa mwili

Dawa za fangasi wa mwili

Fangasi wa mwili ni wale wanaodhuru sehemu yoyote ya mwili, hufahamika kama mashiringi na kwa jina lakitiba kama Tinea corporis.

Dawa za kutibu Tinea Versicolor

Dawa za kutibu Tinea Versicolor

Tinea Versicolor huwa na sifa ya kuwa na duara ndogo au kubwa mwilini yenye mwonekano wa rangi iliyokolea au iliyopauka kuliko sehemu nyingine maeneo ya kifuani na juu ya mgongo.

Dawa za kusimamisha uume kwa muda mrefu

Dawa za kusimamisha uume kwa muda mrefu

Dawa za kusimamisha uume kwa muda mrefu hufanya kazi kwa kuongeza mzunguko wa damu katika uume.

Dawa za Kuongeza uchavushaji wa mayai

Dawa za Kuongeza uchavushaji wa mayai

Dawa mbalimbali za kuongeza uchavushaji wa mayai humfanya mwanamke apate mimba kwa haraka na wakati mwingine kusababisha mimba ya watoto zaidi ya mmoja.

bottom of page