top of page

Ugonjwa na dawa

Kurasa hii utajifunza kuhusu dawa na ugonjwa unaotibiwa na dawa hiyo. Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyotee ile ili kuepuka madhara na usugu wa dawa mwilini mwako. Kumbuka siku zote kuwa dawa ni sumu kwenye mwili wako endapo haitatumika bila ushauri wa daktari

Dawa ya kisonono

Dawa ya kisonono

Kisonono hutibiwa kwa dawa jamii ya antibayotiki zilizo na nguvu ya kuua bakteria kisabaishi anayefahamika kwa jina la Neisseria gonorrhoeae.

Dawa za U.T.I

Dawa za U.T.I

U.T.I inaweza kusababishwa na bakteria aina moja au zaidi na hutibiwa kwa dawa jamii ya antibayotiki yenye uwezo wa kuua kimelea aliyesababisha ugonjwa.

Dawa ya gono

Dawa ya gono

Gono kwa jina la tiba gonorrhea hutibiwa kwa dawa za antibayotiki zilizo na nguvu ya kuua bakteria anayeitwa Neisseria gonorrhoeae.

Dawa za vidonda kwenye ulimi

Dawa za vidonda kwenye ulimi

Vidonda kwenye kinywa kwa jina jingine hufahamika kama vidonda vya kanka, huwa ni vidonda vidogo vinavyouma, hutokea kwenye sakafu ya fizi.

Dawa za kusafisha ulimi

Dawa za kusafisha ulimi

Kusafisha ulimi kila baada ya kula kunaweza kukusaidia kuondoa uchavu pamoja na hatari ya magonjwa ya kinywa na harufu mbaya.

bottom of page