Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dkt. Sospeter M, MD
Dkt. Lugonda B, MD
5 Aprili 2026, 09:27:38

Dawa za kutibu Saratani ya koo
Saratani ya koo ni saratani inayoanzia kwenye chembe zinazofunika kuta za koo. Kwa kawaida koo limetengenezwa na kuta ambazo chini yake kuna misuli. Hata hivyo saratani ya koo humaanisha saratani iliyo kwenye maeneo ya koo na kiboksi cha kutengenezea sauti
Dawa za kutibu saratani ya koo
Dawa zilizoruhusiwa kutumika kwa matibabu ya saratani ya koo au maeneo mengine ya kichwa na shingo ni;
Bleomycin Sulfate
Cetuximab
Docetaxel
Erbitux (Cetuximab)
Hydrea (Hydroxyurea)
Hydroxyurea
Keytruda (Pembrolizumab)
Methotrexate Sodium
Nivolumab
Opdivo (Nivolumab)
Pembrolizumab
Taxotere (Docetaxel)
Trexall (Methotrexate Sodium)
Aina zingine za matibabu ya saratani ya koo
Tiba mionzi
Tiba ya upasuaji
Sehemu gani nyingine utapata taarifa zaidi kuhusu saratani ya koo?
Kupata maelezo zaidi kuhusu satatani ya koo ingia kwenye kurasa ya saratani ya koo kwa kutafutandani ya tovuti ya uly clinic.
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeandikwa:
5 Aprili 2026, 09:27:38
Rejea za mada hii:-
