top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

​

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Zaha 500mg

Zaha 500mg

Zaha ni antibiotic inayotumika kutibu aina mbalimbali za maambukizi ya bakteria wanaodhuriwa na dawa hii kwenye mfumo wa upumuaji, sikio, pua, koo, mapafu, ngozi na macho kwa watu wazima na watoto.

Dawa Ezogabine

Dawa Ezogabine

Ezogabine ni moja kati ya dawa inayotumika kukinga na kupunguza degedege linaloanzia sehemu moja ya ubongo.

Dawa Acarbose

Dawa Acarbose

Acarbose ni dawa jamii ya kizuizi cha alpha-glucosidase inayotumika pamoja na mazoezi kudhibiti sukari kwenye gamu kwa wagonjwa wa kisukari aina ya pili.

Dawa Betamethasone Valerate

Dawa Betamethasone Valerate

Betamethasone Valerate ni dawa ya kundi la kotikosteroidi inayopakwa kwenye ngozi kupunguza uvimbe, muwasho, na mzio unaosababishwa na magonjwa ya ngozi kama izima, demataitisi na soriasisi. Hufanya kazi kwa kupunguza mwitikio wa kinga ya mwili kwenye ngozi, hivyo kupunguza uwekundu, muwasho na uvimbe.

Dawa Ziftomenib

Dawa Ziftomenib

Ikifahamika pia kama Komzifti ni dawa ya kunywa ya kizuia menini inayotibu saratani ya damu aina ya "Saratani kali ya mayeloidi leukemia" yenye mabadiliko ya KMT2A au NPM1 kwa kuzuia ukuaji wa seli za saratani ya damu kwenye kiwango cha kijeni. Imeonyesha ufanisi mzuri kwa wagonjwa waliopitia kushindikana kwa matibabu mengine, huku ikihitaji uangalizi wa karibu kwa madhara kama Sindromu ya kuzuiwa kwa mgawanyiko wa chembe za damu.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page