top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa ya Cephalothin

Dawa ya Cephalothin

Cephalothin ni aina ya dawa ambayo ipo kwenye kundi la kwanza la antibayotiki jamii ya Cephalosporin. Dawa hii huwa maarufu kwa jina la Cefalotin

Dawa ya Cephalexin

Dawa ya Cephalexin

Cephalexin ni aina ya dawa ambayo ipo kwenye kundi la kwanza la antibayotiki jamii ya Cephalosporin. Dawa hii hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa majina ya Keflex na Panixine Disperdose

Dawa ya Cefazolin

Dawa ya Cefazolin

Cefazolin ni aina ya dawa ambayo ipo kwenye kundi la kwanza la antibayotiki jamii ya Cephalosporin.

Dawa ya Cefadroxil

Dawa ya Cefadroxil

Cefadroxil ni aina ya dawa ambayo ipo kwenye kundi la kwanza la antibayotiki jamii ya Cephalosporin.
Dawa hii hutumika kupambana na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili.Dawa hii huwa maarufu kwa majina ya Duricef na ultracef

Dawa ya Tavaborole

Dawa ya Tavaborole

Tavaborole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Kerydin

Dawa ya Sertaconazole

Dawa ya Sertaconazole

Sertaconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya Imidazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Ertaczo

Dawa ya Ravuconazole

Dawa ya Ravuconazole

Ravuconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi linaloitwa Triazole.

Dawa ya Propiconazole

Dawa ya Propiconazole

Propiconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyopo katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi linaloitwa Triazole. Dawa hii ni maarufu kwa jina la DMI

Dawa ya Posaconazole

Dawa ya Posaconazole

Posaconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya Triazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Noxafil

Dawa ya Oxiconazole

Dawa ya Oxiconazole

Oxiconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya imidazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Oxistat

Dawa ya Omoconazole

Dawa ya Omoconazole

Omoconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa Imidazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Mikogal.

Dawa ya Isoconazole

Dawa ya Isoconazole

Isoconazole ni dawa mojawapo ya kutibu magonjwa ya fangasi iliyoko katika kundi la dawa linaloitwa antifangasi aina ya Imidazole. Dawa hii huwa maarufu pia kwa jina la Albacort

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page