top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Upumuaji mzuri wakati wa ujauzito

Upumuaji mzuri wakati wa ujauzito

Ukiwa kwenye hali ya kawaida, mjongeo wa kifua na upumuaji hufanyika kawaida kulinga na mahitaji ya mwili wako na unavyopenda. Wakati wa ujauzito, mtoto tumboni hukua na huchukua nafasi ya kutosha kiasi cha kupunguza nafasi kwa ajili ya kupumua vema.

Umuhimu wa kulala upande mmoja na jinsi ya kulizoea pozi hili

Umuhimu wa kulala upande mmoja na jinsi ya kulizoea pozi hili

Kulalia upande mmoja wa mwili ni pozi zuri linaloondoa msongo mgongoni na huruhusu damu
kwa wingi kwenda kwa mtoto kutoka kwa mama.

Matapishi meusi kwa mjamzito

Matapishi meusi kwa mjamzito

Kutokwa na makohozi ujuzitoni

Kutokwa na makohozi ujuzitoni

Kutokwa na makohozi ujauzitoni mara nyingi husababishwa na mabadiliko ya homoni au kucheua tindikali na si hatari kubwa kiafya. Hata hivyo, dalili kali au zisizo za kawaida zinahitaji uchunguzi wa daktari ili kuhakikisha usalama wa mama na mtoto.

Mimba ya miezi mitatu

Mimba ya miezi mitatu

Mimba ya miezi miwili humaanisha mimba ya wiki 1 hadi 4, katika wiki ya 3 utungisho hutokea unaopelekea kutengenezwa kwa kitufe cha seli kitachozalisha kijusi.

bottom of page