top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Mimba ya miezi miwili

Mimba ya miezi miwili

Mimba ya miezi miwili humaanisha mimba ya wiki 4 hadi 8. Katika makala hii utajifunza nini kinatokea kwenye mimba ya wiki 5 hadi 8 za ujauzito.

Mimba ya mwezi mmoja

Mimba ya mwezi mmoja

Wiki mbili za kwanza mtu anakuwa hajapata mimba ingawa anasemekana kuwa mjamzito, wiki ya tatu uchavushaji hufanyika na matokeo yake ni tufe dogo la chembe za mama na baba hutengenezwa.

Mimba ya miezi mitano

Mimba ya miezi mitano

Mimba ya miezi mitano ni sawa na mimba ya wiki 17 hadi 20, katika kipindi hiki mabadiliko mbalimbali hutokea mwilini katika kila wiki.

Mimba ya miezi nane

Mimba ya miezi nane

Mimba ya miezi nane ni sawa na mimba ya wiki 29 hadi 32, katika kipindi hiki mabadiliko mbalimbali hutokea mwilini katika kila wiki.

Mimba ya miezi kumi

Mimba ya miezi kumi

Mimba ya miezi kumi ni sawa na mimba ya wiki 37 hadi 40, katika kipindi hiki mabadiliko mbalimbali hutokea mwilini katika kila wiki.

bottom of page