top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Kujifungua kabla ya wakati

Kujifungua kabla ya wakati

Kujifungua kabla ya wakati ni pale mtoto anapozaliwa mapema zaidi kabla ya wiki 37 ya ujauzito. Kwa kawaida ujauzito hudumu kwa wiki 40.

Wiki ya 40 ya ujauzito

Wiki ya 40 ya ujauzito

Hii ni wiki ya mwisho inayokamilisha miezi 9 ya ujauzito, pia huwa ni wiki ya tarehe ya makadirio ya kujifungua kutoka hedhi ya mwisho.

Wiki ya 39 ya ujauzito

Wiki ya 39 ya ujauzito

Katika wiki hii inasalia wiki moja tu kufikia tarehe ya makadirio ya kujifungua, japokuwa leba inaweza kuanza muda wowote.

Wiki ya 38 ya ujauzito

Wiki ya 38 ya ujauzito

Kichwa huwa kimeingia kwenye nyonga tayari kwa kutoka nje ya tumbo la uzazi, tendo hili huanza wiki ya 34 na kuendelea na wakati mwingine hutokea leba inapoanza.

Wiki ya 37 ya ujauzito

Wiki ya 37 ya ujauzito

Huashiria miezi tisa ya ujauzito ambapo zinakuwa zimesalia wiki 3 tu kufikia tarehe ya makadirio ya kujifungua.

bottom of page