Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Benjamin L, MD
Jumamosi, 4 Desemba 2021

Kabeji ya kichina
Kabeji ya kichina ni aina ya mboga yenye asili Uchina, ambayo imekuwa ikitumika tangu enzi za zamani kutokana na umahiri na uwezo wake katika tibalishe. Kabeji hii inaweza kutumika kwa kuchemsha, kupika, kukaanga, au hata kuitafuta ikiwa mbichi huku ikiwa imechanganywa na vyakula vingine.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye kabeji ya kichina
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Maji
Vitamini
Vitamini
Viinilishe vinavyopatikana kwenye kabeji ya kichina yenye gramu 100
Nishati = 13kcal
Mafuta = 0.2g
Nyuzilishe = 2.2g
Sukari = 1.2g
Protini =1.5g
Maji = 95.32g
Vitamini zinazopatikana kwenye kabeji ya kichina yenye gramu 100
Vitamini A = 223mcg
Karotini Alfa = 1mcg
Karotini Beta = 2681mcg
Vitamini B1 = 0,040mg
Vitamini B2 = 0.070mg
Vitamini B3 = 0.500mg
Vitamini B5 = 0.088mg
Vitamini B6 = 0.194mg
Vitamini B9 = 66mcg
Vitamini C = 45mg
Vitamini K = 45.5mg
Madini yanayopatikana kwenye kabeji ya kichina yenye gramu 100
Potashiamu = 252mg
Kalishiamu = 105mg
Kopa = 0.021mg
Magineziamu = 19mg
Manganaizi = 0.159mg
Fosifolasi = 37mg
Sodiamu = 65mg
Zinki = 0.19mg
Faida za Kabeji ya kichina
Faida za kiafya za kabeji ya kichina ni;
Huimarisha kuimarisha mifupa
Kuongeza damu na kukukinga na upungufu wa damu
Kurekebisha kiwango cha shinikizo la damu
Kuimarisha afya ya moyo
Kurekebisha na kupunguza uzito usiotakiwa mwilini
Kuimarisha kinga ya mwili
Kuimarisha afya ya macho na kuongeza uwezo wa kuona kwa ufasaha
Kuimarisha mfumo wa mmeng`enyo wa chakula
Kuimarisha afya ya ngozi pamoja na afya ya nywele
Imeboreshwa,
4 Desemba 2021 16:06:50
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Nugrahedi, et al. “Stir-Frying of Chinese Cabbage and Pakchoi Retains Health-Promoting Glucosinolates.” Plant foods for human nutrition (Dordrecht, Netherlands) vol. 72,4 (2017): 439-444. doi:10.1007/s11130-017-0646-x
Nugrahedi PY, et al. A mechanistic perspective on process-induced changes in glucosinolate content in Brassica vegetables: a review. Crit Rev Food Sci Nutr. 2015;55(6):823–838.
Dekker M, et al. Differences in thermal stability of glucosinolates in five Brassica vegetables. Czech J Food Sci. 2009;27:S85–S88.
Chen X, et al. Glucosinolates in Chinese Brassica campestris vegetables: Chinese cabbage, purple cai-tai, choysum, pakchoi, and turnip. Hortscience. 2008;43(2):571–574.
Volden J, et al. Processing (blanching, boiling, steaming) effects on the content of glucosinolates and antioxidant-related parameters in cauliflower (Brassica oleracea L. ssp. botrytis) Food Sci Technol. 2009;42(1):63–73.