top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Dkt. Peter R, CO

Dkt. Mangwella S, MD

Jumatatu, 21 Machi 2022

Darabi
Darabi

Darabi ni matunda madogo yanayoliwa yanayotokana na mti uzalishao maua familia ya Myrtaceae. Tunda hili huliwa baada ya kukomaa na kuwa nyekundu.


Viinilishe vinavyopatikana kwenye Darabi


 • Mafuta

 • Madini

 • Protini

 • Vitamini

 • Kabohaidreti

 • Maji


Viinilishe vinavyopatikana kwenye Darabi yenye gramu 100


 • Nishati = 25kcal

 • Mafuta = 0.3g

 • Maji = 93g

 • Kabohaidreti = 5.7g

 • Protini = 0.6g


Vitamini zinazopatikana kwenye Darabi yenye gramu 100


 • Vitamini A = 17mcg

 • Vitamini B1 = 0.02mg

 • Vitamini B2 = 0.03mg

 • Vitamini B3 = 0.8mg

 • Vitamini C =22.3mg


Madini yanayopatikana kwenye Darabi yenye gramu 100


 • Kalishiamu = 29mg

 • Kopa = 0.02mg

 • Madini Chuma = 0.07mg

 • Magineziamu = 5mg

 • Manganaizi = 0.029mg

 • Fosifolasi = 8mg

 • Potashiamu = 123mg

 • Zinki = 0.06mg


Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Darabi


 • Hupunguza uzito

 • Hupunguza maumivu ya misuli na viungo

 • Huzuia ugonjwa wa fangasi

 • Huzuia kasi ya kuzeeka na kuimarisha seli za mwili

 • Huimarisha utendaji kazi wa figo.

 • Hurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

 • Hupunguza shunikizo la juu la Damu.

 • Huongeza uwezo wa kuona Pamoja na kuzuia ugonjwa wa mtoto wa jicho na upofu

Imeboreshwa,
21 Machi 2022 15:58:07
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).

 

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
 

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii

 1. Rose-apple. https://www.nutritionvalue.org/Rose-apples%2C_raw_nutritional_value.html. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.

 2. Block G, Patterson B, Subar A. Fruit, vegetables, and cancer prevention: a review of the epidemiological evidence. Nutr Cancer. 1992;18:1–29. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC442131/. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.

 3. Malin AS, Qi D, Shu XO, Gao YT, Friedmann JM, Jin F, Zheng W. Intake of fruits, vegetables and selected micronutrients in relation to the risk of breast cancer. Int J Cancer. 2003 Jun 20;105(3):413-8. doi: 10.1002/ijc.11088. PMID: 12704679; PMCID: PMC1780272. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/12704679/. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.

bottom of page