Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Mangwella S, MD
Jumatatu, 21 Machi 2022
Figili
Figili ni mbogamboga inayotokana na mizizi ya figili ambayo huandaliwa kama chakula. Mbogamboga hii ni maarufu kutokana na kuwa na virutubisho na madini kwa wingi.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Fagili
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Fagili
Fagili ina kemikali muhimu ambazo ni Caffeic Acid, P-coumaric Acid na Ferulic Acid
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Fagili yenye gramu 100
Nishati = 14kcal
Mafuta = 0.2g
Maji = 95.4g
Kabohaidreti = 3g
Sukari = 1.3g
Nyuzilishe = 1.6g
Protini = 0.7g
Vitamini zinazopatikana kwenye Fagili yenye gramu 100
Vitamini A = 22mcg
Vitamini B1 = 0.21mg
Vitamini B2 = 0.057mg
Vitamini B3 = 0.320mg
Viatmini B5 = 0.246mg
Vitamini B6 =0.074mg
Vitamini B9 = 36mcg
Vitamini C = 3.1mg
Vitamini E =0.27mg
Vitamini K = 29.3mg
Madini yanayopatikana kwenye Fagili yenye gramu 100
Kalishiamu = 40mg
Kopa = 0.04mg
Madini Chuma = 0.2mg
Floraidi = 4mcg
Magineziamu = 11mg
Manganaizi = 0.103mg
Fosifolasi = 24mg
Potashiamu = 260mg
Sodiamu = 80mg
Zinki = 0.13mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Fagili
Huimarisha kinga ya mwili, Kuongea nguvu Mwilini
Huimarisha mfumo wa ufahamu wa mwili na kupunguza tatizo la msongo wa mawazo
Huimarisha uimara wa mifupa
Huimarisha mfumo mzima wa mmemng`enyo wa chakula
Huimarisha utendaji kazi wa moyo
Huweka msawazo wa sukari mwilini na kuzuia tatizo la kisukari
Imeboreshwa,
21 Machi 2022 16:09:55
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii