Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, C.O
Dkt. Sospeter M, M.D
Jumamosi, 22 Januari 2022
Kiwi
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda la Kiwi
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Tunda la Kiwi
Tunda la Kiwi lina kemikali muhimu inayoitwa Actinidin
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda la Kiwi
Nishati = 63kcl
Jumla ya mafuta = 0.28g
kabohaidreti = 15.8mg
Sukari = 12.3g
Nyuzilishe = 1.4g
Protini = 1.02g
Maji = 82g
Madini yanayopatikana kwenye Tunda la Kiwi lenye Gramu 100
Madini chuma = 0.21mg
Kalishiamu = 17mg
Magineziamu = 12mg
Fosifolasi = 25mg
Potashiamu = 315mg
Sodiamu = 3mg
Zinki = 0.08mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Tunda la Kiwi lenye gramu 100
Vitamin A = 24mcg
Vitamini B2 = 0.074mg
Vitamini B3 = 0231mg
Vitamini B5 = 0.12mg
Vitamini B6 =0.079mg
Vitamini B9 = 3mcg
Vitamini B12 = 0.8mcg
Vitamini C = 161.3mg
Vitamini E = 1.4mg
Vitamini K = 6.1mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa tunda la Kiwi
Inasaidia kutibu pumu
Inasaidia kuzuia shinikizo la juu la Damu
Kuimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula pamoja na kulainisha choo
Kuimarisha Afya ya macho na kuongeza uwezo Wa kuona pamoja na kuzuia baadhi ya magonjwa ya macho.
Kuimarisha kinga ya mwili
Kuzuia athari za kupatwa na kansa
Kurekebisha kiwango cha sukari mwilini na ugonjwa Wa kisukari, pia ni salama ikitumika kwa wagonjwa Wa kisukari
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 18:57:25
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Chan AO, Leung G, Tong T, Wong NY. Increasing dietary fiber intake in terms of kiwifruit improves constipation in Chinese patients. World J Gastroenterol. 2007 Sep 21;13(35):4771-5. doi: 10.3748/wjg.v13.i35.4771. PMID: 17729399; PMCID: PMC4611199.
Kiwi, nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Kiwi_fruit%2C_raw_63126500_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 22 December 2021.
Ferguson AR, Ferguson LR. Are kiwifruit really good for you? Acta Hort. 2003;610:131–138. doi: 10.17660/ActaHortic.2003.610.16. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6267416/. Imechukuliwa 22/12/2021.