Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, C.O
Dkt. Sospeter M, M.D
Jumamosi, 22 Januari 2022
Limao
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda la Limao
Maji
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Limao
Limao ina kemikali muhimu inayoitwa Polyphenos , Terpenes pamoja na Tannins
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Limao lenye Gramu 100.
Nishati = 22Kcl
Jumla ya mafuta = 0.2g
Sodiamu= 1mg
Kabohaidreti = 6.9g
Sukari = 2.5g
Nyuzilishe = 0.3g
Protini = 0.4g
Maji = 92.3g
Madini yanayopatikana kwenye Tunda la Limao lenye Gramu 100
Madini chuma = 0.08mg
Kalishiamu = 6mg
Magineziamu = 6mg
Fosifolasi = 8mg
Potashiamu = 103mg
Sodiamu = 1mg
Zinki= 3.3mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Limao lenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.024mg
Vitamini B2 = 0.015mg
Vitamini B3 = 0.091mg
Vitamini B5 = 0.131mg
Vitamini B6 =0.046mg
Vitamini B9 = 20mcg
Vitamini C = 38.7mg
Vitamini E = 0.15mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Limao
Kuimarisha afya ya moyo
Kupunguza uzito
Kuimarisha kinga ya mwili
Kuongeza hamu ya kula
Kuimarisha afya ya figo pamoja na Kuzuia mawe kwenye figo
Kuzuia tatizo la upungufu wa damu Kwa kuongeza kiwango cha uharaka wa kuganda kwa ndani ikiwa nje ya mishipa
Kupunguza athari za kupatwa na kansa
Kuimarisha mfumo wa mmeng`enyo wa chakula
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 18:57:03
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Lemon nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Lemon_juice%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 7 /12/ 2021
Miyake Y, et al. Isolation of antioxidative phenolic glucosides from lemon juice and their suppressive effect on the expression of blood adhesion molecules. Biosci. Biotechnol. Biochem. 2007;71:1911–1919. doi: 10.1271/bbb.70115. [PubMed].
Sun Y, Qiao L, Shen Y, Jiang P, Chen J, Ye X. Phytochemical profile and antioxidant activity of physiological drop of citrus fruits. J Food Sci. 2013 Jan;78(1):C37-42. doi: 10.1111/j.1750-3841.2012.03002.x. PMID: 23301602.