Mwandishi:
Mhariri:
ULY CLINIC
Dkt. Benjamin L, MD
Alhamisi, 16 Desemba 2021
Maziwa ya Kanari
Mbegu za Kanari ni mbegu za mmea wa Phalariscanariensis zitumikazo kama chakula cha ndege, ambazo hulimwa Meksiko na Mashariki ya kati. Kuna ushahidi wa kisayansi kuhusu matokeo yenye faida kwa wagonjwa wa kisukari, shinikizo la juu la damu na wenye kiwango kikubwa cha lehemu, hata hivyo kuna faida nyingi vitu vingi ambazo hazijajulikana kuhusu zao hili.
Sifa za kawaida za maziwa yote ya asili ya mimea
Maziwa ya mchele huwa na;
Protini na sukari
Omega-3 na asidi nyingi zisizo na mafuta yaliyoshamiri
Vitamin E
Madini ya chuma (mengi kuliko kwenye maziwa ya ng’ombe), kiasi(kidogo kuliko kwenye maziwa ya ng’ombe), na madini mengine.
Maziwa ya mchele hupungukiwa;
Laktosi
Gluteni (protini ya wanga)
Lehemu
Vitamini B12
Imeboreshwa,
16 Desemba 2021 18:56:00
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii