Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R. CO
Jumapili, 27 Machi 2022
Radishi
Radishi ni mbogamboga zitokanazo na mizizi inayotokana na mimea inayopatikana kwenye familia ya Brassicaceae. Mboga mboga hizi huweka kutumika ikiwa mbichi au baada ya kuchemshwa.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Radishi
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Radishi
Radishi una kemikali muhimu inayoitwa Glucosionate, myrosinase na isothiocyanate.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Radishi yenye gramu 100
Nishati = 16kcal
Mafuta = 0.1g
Maji = 95.27g
Kabohaidreti = 3.4g
Sukari = 1.9g
Nyuzilishe = 1.9g
Protini = 0.7g
Vitamini zinazopatikana kwenye Radishi yenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.012mg
Vitamini B2 = 0.039mg
Vitamini B3 = 0.254mg
Viatmini B5 = 0.165mg
Vitamini B6 = 0.071mg
Vitamini B9 = 25mcg
Vitamini C =14.8mg
Vitamini K = 1.3mg
Madini yanayopatikana kwenye Radishi yenye gramu 100
Kalishiamu = 25mg
Kopa = 0.5mg
Floraidi = 6mcg
Madini Chuma = 0.34mg
Magineziamu = 10mg
Manganaizi = 0.069mg
Fosifolasi = 20mg
Potashiamu = 233mg
Sodiamu = 39mg
Zinki = 0.28mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Radishi
Kupunguza uzito usiotakiwa mwilini
Kuzuia aina mbalimbali za kansa
Kuimarisha mfumo wa mmemng`enyo wa chakula na kulainisha choo
Kuzuia aina mbalimbali za fangasi mwilini
Kuzuia tatizo la kisukari na kuweka msawazo wa sukari kwenye damu.
Imeboreshwa,
27 Machi 2022, 15:39:47
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Radishes. https://www.nutritionvalue.org/Radishes%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 9 January
Shukla S., Chatterji S., Mehta S., Rai P.K., Singh R.K., Yadav D.K., Watal G. Antidiabetic effect of raphanus sativus root juice. Pharm. Biol. 2011;49:32–37. doi: 10.3109/13880209.2010.493178. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC5622774/. Imechukuliwa tarehe 9 January 2022.
Luo X, Zhang H, Duan Y, Chen G. Protective effects of radish (Raphanus sativus L.) leaves extract against hydrogen peroxide-induced oxidative damage in human fetal lung fibroblast (MRC-5) cells. Biomed Pharmacother. 2018 Jul;103:406-414. doi: 10.1016/j.biopha.2018.04.049. Epub 2018 Apr 24. PMID: 29674276. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/29674276/. Imechukuliwa tarehe 9 January 2022.