Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Jumapili, 27 Machi 2022
Ratatouille
Ni mchanganyiko wa mboga mboga za majani kama vile nyanya, kitunguu swaumu, kitunguu maji, bilinganya , zucchini, pilipili hoho, basili na thyme zinazopikwa ili kutengeneza mlo mmoja. Mchanganyiko huu ni wenye afya kwani mlaji anapata virutubisho vingi kwa wakati mmoja.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Ratatoulle
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Ratatoulle
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Ratatouille ni Citric acid
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Ratatoulle yenye gramu 100
Nishati = 65kcal
Mafuta = 4.7g
Maji = 87.47g
Kabohaidreti = 5.7g
Sukari = 3.4g
Nyuzilishe = 1.9g
Protini = 1.1g
Vitamini zinazopatikana kwenye Ratatoulle yenye gramu 100
Vitamini A = 20mcg
Vitamini B1 = 0.156mg
Vitamini B2 = 0.051mg
Vitamini B3 = 0.547mg
Viatmini B5 = 0.6mg
Vitamini B6 = 0.128mg
Vitamini B9 = 18mcg
Vitamini C =7.8mg
Vitamini E = 1.02mg
Vitamini K = 6.7mg
Madini yanayopatikana kwenye Ratatoulle yenye gramu 100
Kalishiamu = 21mg
Kopa = 0.7mg
Madini Chuma = 0.45mg
Magineziamu = 14mg
Fosifolasi = 29mg
Potashiamu = 219mg
Sodiamu = 152mg
Zinki = 0.22mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Ratatoulle
Kupunguza uzito
Kuleta na kuongeza hamu ya kula
Kuimarisha afya ya macho na kuongeza uwezo wa kuona
Kuongeza damu
Kuimarisha mifupa
Kuongeza kinga ya mwili.
Imeboreshwa,
27 Machi 2022, 15:50:24
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Ratatouille. https://www.nutritionvalue.org/Ratatouille_75316050_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.
Irl BH, Evert A, Fleming A, et al.. Culinary medicine: advancing a framework for healthier eating to improve chronic disease management and prevention. Clin Ther. 2019;41:2184-2198. doi:10.1016/j.clinthera.2019.08.009. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC7092399/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.
La Puma J. What Is Culinary Medicine and What Does It Do? Popul Health Manag. 2016 Feb;19(1):1-3. doi: 10.1089/pop.2015.0003. Epub 2015 Jun 2. PMID: 26035069; PMCID: PMC4739343. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/26035069/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.