top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Dkt. Peter R, CO

Jumapili, 27 Machi 2022

Rhubarb
Rhubarb

Rhubabi ni majani yenye uchachu yanayoliwa yanayotokana na mmea jamii ya Rheum. Rhubabi hutumika kama chakula baada ya kupikwa kwa afya bora ya mtumiaji.


Viinilishe vinavyopatikana kwenye Rhubab


  • Mafuta

  • Madini

  • Sukari

  • Nyuzilishe

  • Protini

  • Vitamini

  • Kabohaidreti

  • Maji


Kemikali muhimu zinazopatikana kwenye Rhubab


Kemikali muhimu zinazopatikana kwenye Rhubabi ni Oxalic Acid.


Viinilishe vinavyopatikana kwenye Rhubab yenye gramu 100


  • Nishati = 21kcal

  • Mafuta = 0.2g

  • Maji = 93.6g

  • Kabohaidreti = 4.5g

  • Sukari = 1.1g

  • Nyuzilishe = 1.8g

  • Protini = 0.9g


Vitamini zinazopatikana kwenye Rhubabiyenye gramu 100


  • Vitamini A = 5mcg

  • Vitamini B1 = 0.02mg

  • Vitamini B2 = 0.03mg

  • Vitamini B3 = 0.3mg

  • Viatmini B5 = 0.085mg

  • Vitamini B6 = 0.024mg

  • Vitamini B9 = 7mcg

  • Vitamini C = 8mg

  • Vitamini E =0.27mg

  • Vitamini K = 29.3mg


Madini yanayopatikana kwenye Rhubab yenye gramu 100


Kalishiamu = 86mg

Kopa = 0.02mg

Madini Chuma = 0.22mg

Magineziamu = 12mg

Manganaizi = 0.196mg

Fosifolasi = 14mg

Potashiamu = 288mg

Sodiamu = 4mg

Zinki = 0.1mg


Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Rhubab


  • Kupunguza uzito

  • Kupunguza mafuta yasiyohitajika mwili (Rehemu)

  • Kuimarisha kinga ya mwili

  • Kuimarisha mfumo wa mmeng`enyo wa chakula

  • Kuzuia vidonda vya tumbo

  • Kulainisha choo

  • Kuongeza uwezo wa kuona

  • Kuzuia uvimbe kwenye kizazi (wanawake)

  • Kuzuia aina mbalimbali za saratani

Imeboreshwa,
27 Machi 2022 16:00:57
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).

 

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
 

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii

  1. Rhubarb. https://www.nutritionvalue.org/Rhubarb%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.

  2. Drugs and Lactation Database (LactMed) [Internet]. Bethesda (MD): National Library of Medicine (US); 2006–. Rhubarb. 2021 May 17. PMID: 30000922. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/30000922/. Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.

  3. . Yuan JF, Ji HH, Qiu ZJ, Wang DH. ECV304/C6 coculture model of the BBB coupled with LC–MS analysis for drug screening from Rhubarb extract(Article) Med Chem Res. 2016;25(9):1935–1944. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC7448319/Imechukuliwa tarehe 2 January 2022.

bottom of page