Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Mangwella S, MD
Ijumaa, 28 Januari 2022
Stafeli
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda Staferi
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Stafeli
Tunda la Stafeli lina kemikali muhimu inayoitwa Annonacin
Viinilishe vinavyopatikana kwenye tunda Stafeli
Nishati = 66kcl
Jumla ya mafuta = 0.3g
Kabohaidreti = 17mg
Sukari = 14g
Nyuzilishe = 3.3g
Protini = 1g
Maji = 81.2
Madini yanayopatikana kwenye Tunda la Stafeli lenye Gramu 100
Madini chuma = 0.6mg
Kalishiamu = 14mg
Magineziamu = 21mg
Fosiforasi = 27mg
Potashiamu = 278mg
Sodiamu = 14mg
Zinki = 0.1mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Tunda la Stafeli lenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.07mg
Vitamini B2 = 0.05mg
Vitamini B3 = 0.9mg
Vitamini B5 = 0253mg
Vitamini B6 =0.059mg
Vitamini B9 =14mcg
Vitamini C = 20.6mg
Vitamini E = 0.08mg
Vitamini K = 0.4mcg
Faida za ulaji wa tunda la Stafeli
Huzuia/kupunguza kasi ya kupatwa na Kansa za aina mbalimbali
Huimarisha kinga ya mwili
Huimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
Huimarisha ngozi
Hurekebisha kiwango cha sukari mwilini
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 11:51:10
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Soursop nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Soursop%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 5.12.2021
Lee WZ, Chang SK, Khoo HE, Sia CM, Yim HS. Influence of different extraction conditions on antioxidant properties of soursop peel. Acta Sci Pol Technol Aliment. 2016 Oct-Dec;15(4):419-428. doi: 10.17306/J.AFS.2016.4.40. PMID: 28071019. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/28071019/. Imechukuliwa 5.12.2021
Badrie N., Schauss A. G. Soursop (Annona muricata L.): composition, nutritional value, medicinal uses, and toxicology. In: Watson R. R., Preedy V. R., editors. Bioactive Foods in Promoting Health. Oxford: 2009. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6091294/. Imechukuliwa 5.12.2021.